Huyu ndio Invisivible

Huyu ndio Invisivible

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Wadau,

Kila mtu ajaribu kumvutia picha Moderator maarufu hapa jamiiforums, bwana mdogo Invisible. Tafadhali Invisible usinipige ban.

Mi nafikiri Invisible atakuwa Mweusi, mfupi, ana kitambi kidogo halafu ana mzuzu wa kiustadhi kidevuni.

1. Wewe unadhani Invisible ana muonekano upi?
2. Anapendelea nini?
3. Huwa anavaaje?
n.k

Posted by: SUPU YA MAWE (PhD Holder)
 
Last edited by a moderator:
Invisible ni mkimya, mstahimilivu, msikivu na mwenye uchaji wa Mungu, kicheko chake ni kwa nukta.
 
Last edited by a moderator:
Wadau,

Kila mtu ajaribu kumvutia picha Moderator maarufu hapa jamiiforums, bwana mdogo Invisible. Tafadhali Invisible usinipige ban ni kwa nia njema tu.

Mi nafikiri Invisible atakuwa Mweusi, mfupi, ana kitambi kidogo halafu ana mzuzu wa kiustadhi kidevuni.

Wewe unadhani Invisible ana muonekano upi?

Posted by: SUPU YA MAWE

Sasa Mbona Kama Vile Unajipendekeza Kwake? Naomba Kujua Jinsia Yako Tafadhali!
 
kabla hatujajibu tujue kama tuna kinga ya jamii forum (maana bungeni kuna kinga ya bunge). Wengine tunamfahamu vizuri na tukiweka picha hapa mtakimbia,usiku hamtalala na ikitokea umepata lepe la usingizi ni full mang'amung'amu
 
hivi invisible huyu ndio yule invisible mtangazaji kili-fm ya moshi?
 
InViSiBoLi inAsemeKANa kaFanAna na StepHen WassiRa. semA yEye aNakiTambI kaMa cHa KAptEnI koMba halAfu anYoi nDevu Kama HasHeem RunGwe pia AnaPenDelea kuVaa VitEnge kaMa Vya liPumBa sEma naHis aNaKenGeza kAma MbOwe kwa mBalii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom