SUPU YA MAWE ndani ya jiji la Mwanza

SUPU YA MAWE ndani ya jiji la Mwanza

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,402
Reaction score
1,618
Toka nije hapa duniani miaka kadhaa iliyopita pamoja na maneno maneno mengi lakini sijawahi kufika jiji la Mwanza lakini hatimae mwezi huu tarehe kumi na nane mapema sana nitakuwa Mwanza na kesho yake mida ya jioni nitarudi Dar es salam.

Japo ni kwa siku moja tu lakini ningependa kuonana na member wa Jamii forums aliyeko Mwanza, nitalala tilapia hotel. Kwakuwa ninakuja kikazi kwahiyo siku hiyo nikifika nitakuwa busy sana na nitapata nafasi ya kutulia kuanzia saa mbili usiku, kwa mwenye nafasi siku hiyo tuchekiane kwa PM tuone kama tutaweza kuonana.

Posted by: SUPU YA MAWE
 
Nami nitakuwepo huko tutafutane.
Mi nitafikia lake hotel.
 
Toka nije hapa duniani miaka kadhaa iliyopita pamoja na maneno maneno mengi lakini sijawahi kufika jiji la Mwanza lakini hatimae mwezi huu tarehe kumi na nane mapema sana nitakuwa Mwanza na kesho yake mida ya jioni nitarudi Dar.

Japo ni kwa siku moja tu lakini ningependa kuonana na member wa jf aliyeko Mwanza, nitalala tilapia hotel. Kwakuwa ninakuja kikazi kwahiyo siku hiyo nikifika nitakuwa busy sana na nitapata nafasi ya kutulia kuanzia saa mbili usiku, kwa mwenye nafasi siku hiyo tuchekiane kwa PM tuone kama tutaweza kuonana.

Posted by: SUPU YA MAWE

saa 2usiku?... Kama me aje?
 
Last edited by a moderator:

Karibu sana japo mi binafsi tarehe hiyo ntakua job nje ya mji,hua natoka j3 alfajili na kurudi ijumaa usiku 4every week.lakini karibu sana jiji la wastaarabu!
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana japo mi binafsi tarehe hiyo ntakua job nje ya mji,hua natoka j3 alfajili na kurudi ijumaa usiku 4every week.lakini karibu sana jiji la wastaarabu!
asante sana mkuu, kuna uwezekano wa kuja huko kila mwezi kwahiyo siku nikija weekend nitakutafuta mkuu
 
kama me tutaonana airport ninaposubiri kuondoka...... hahahahah

du..!! yaani mi nje kukupungia mkono tu! Kama obama anaenda kwao baada ya ziara yake tanzania. Ha ha ha. Wasubiri wanakuja.
 
Back
Top Bottom