Umekuwa mtamu

Umekuwa mtamu

upupu

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2008
Posts
614
Reaction score
198
Naona haka msemo kunazidi kupata chat hapa mjini, ila kiukweli ukitaka ngumi zilike, ugomvi usiiishe, we niambie umekuwa mtaamuuu" Kwakweli hatutaelewana sababu hizo ni habari za kishoga.

Mi niwe mtamu mwanamke kwani, mwanamke ukimuambia hivyo ni sawa si mwanaume na ndevu zangu, so tuheshimiane tafadhali, tusijetoana damu bure.
 
@----- kwani huwa unaambiwa hivyo??? Au ni tahadhari
 
@----- kwani huwa unaambiwa hivyo??? Au ni tahadhari

Kuna Jamaa alikuwa ananiambia hivyo nimemaindi vibaya, nimetahadharisha coz ni mshakaj wangu, ila kidogo nimpe ngumi
 
Kuna Jamaa alikuwa ananiambia hivyo nimemaindi vibaya, nimetahadharisha coz ni mshakaj wangu, ila kidogo nimpe ngumi

Afu mbona ID yako haitokelezei hapo naona nukta
 
Hahahahaaa!! Kwasababu za kiusalama MankaM
 
----- umekuwa mtaaamu siku hizi tena ukimwagia mtu atawashwaje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom