Nilikuwa sijui kina nani ndo ma mods hapa jamii forums. Sasa leo nikakutana na jina linaitwa Bridger ameview profile yangu. Kucheki vizuri nikakuta ni mod. Kuna dalili za kupigwa ban nahisi ha ha ha:heh: Mod nisamehe popote ulipo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.