Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Habari za masiku mengi wapendwa wa MMU,
Mwaka 2015 ndo huooo unajimuvusisha kila mtu na abebe mbeleko yake, asiye na mwana aeleke jiwe.Katika kuanza kupangua mipango niliyojipangia 2015 mojawapo ni kupunguza michepuko niliyokuwa nayo, sasa katika kuwapangua maana nilikuwa nawa assess nikagundua kuna mtu kama 3 hivi ni con man yaani ni matapeli wa mjini.
Nikisema matapeli namaanisha hivo hivo matapeli wote unaowajua wewe kwa jinsi yoyote ile, iwe kutapeli pesa, mali, utu, mapenzi na mazagazaga yote.Con man hawa nilifahamiana nao kwa vipindi tofauti tofauti mmoja nilikutana nae kwenye sherehe, mwingine kwenye starehe na mwingine huwezi amini nilikutana nae kanisani.
This people in one side are very good friends and humble but the way life style wanayoishi hapo ndo wakanifanya nije kuandika huu uzi hapa. Mmoja huyu niliyefahamina nae kwenye starehe ilikuwa kila nikienda club tunajikuta tunacheza wote mziki mwanzo mwisho halafu huwa tunaeneo huwa tunajikuta tunaka hapo hapo kila mara.
Mara jamaa akaomba simu mie sikutoa nikawa namwambia tuu tukutane lunch hours, basi baada ya lunch tunakubaliana tukutane Rose Garden jioni au Rodizo ivo.
With time baada ya kumzoea mtu mawasiliano ya simu yanakuja sasa ila inakuwa si mahusiano ya mapenzi hapana ni ile urafiki wa kampani storyu na dili za mjini basi. Kilichokuwa kinanishangaza unakuta huyu con man anakuwa anajua details zangu zote ila mie kutafuta details zake inakuwa issue.
Mfano mmoja nilimuuliza wapi kazi akataja kampuni, nije nikutembelee one day kazini utaona anang'aka au anakwambia noo lakini hutanipata.
Ila anapotaka yeye anakupata ila wewe kumpata ni issue, mara simu hazipatikani hata mwezi mmmh nakuwa najiuliza sasa huyu mtu vipi si kuwa unambana kuwa umdai pesa ya matumizi hapana au unakuwa unamtafuta kimapenzi hapana, ni ile mtu unakuwa umeboeka unasema ngoja leo nimtwangie mshkaji tukajirushe club mziki unakutana na not reachable kuanzia simu wasap email khaaaa basi unajinywea zako pombe unaenda kulala.
Mara siku isiyo na jina unakutana na simu bila hata aibu anakwambia twende leo ukanipe lunch halafu tuongee ukimuuliza ulikufa atajikanyaga kanyaga tuu hana macho wala pua anayoweza elezeasSasa nikajikuta nawaza inaweza kuwa hapa mjini huu utapeli nao upo wa kudandia dandia urafiki. Hapo unatapeliwa lunch, dinners, out za club, lifti za kumtoa mjini kurudi home.
Mfano mmoja yeye alikuwa ananipigia vipi leo unachelewa kutoka, niko town kama vipi tuongozane, basi kwakuwa ni mshkaji unampakia mnapita club kisha unamdrop near na home kwake utasikia niache hapa hapa kituoni.
Yaani leo ndo nimejigundua nilikutana na matapeli japo sijawahi wapa hela kama hela japo kuna mmoja kuna siku alishanipigia nimuazime laki 5 nikachomoa. Na papuchi yangu hakuna aliyeonja maana mie kunivua pichu ni kazi sana hata nilewe vipi. Sasa nimewadelete kila mahali mwaka mupya mambo mapya.
Kama ukisoma hadi mwisho na kurudia kusoma tena na tena huelewi, ipotezee maana hizi ni simulizi za Kasie za life yake.
Love u all