JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Msomi mmoja mwenye PhD pamoja na kijana mmoja ambaye hakubahatikkusoma walisafiri pamoja kwenda kutembelea mbuga moja maarufu yenye maua na ndege wa kuvutia.Usiku ulipofika wakaweka hema lao zuri...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tuambie kama kuna ukweli wowote kulingana na hii picha
4 Reactions
71 Replies
19K Views
Kuna siku jamaa alimkomalia sana msichana wake mara niweke whatsaap kakomaa sanaa msichana akaona usumbufu akamwambia nitumie elfu 70 nikasuke jamaaa akazima simu. Nimegundua.Ukipenda bata...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
We Mchepuko tarajiwa wewe ulichonifanyia jana sitokaa nikusamehe labda unitunuku mambo yetu yale kudadadeki. Yaani nitoke Nyumbani tena kwa kulizua tu kwa wife kimagumashi, nichome mafuta yangu...
0 Reactions
139 Replies
14K Views
Huyu mpenzi kaanza mbwembwe za ajabuajabu tu,yani siku hizi ni nguo za nje ya nchi tu, za hapa nchini hazitaki kabisa.Wanawake wengine bwana full mashauzi. Cc kalagabaho
2 Reactions
44 Replies
7K Views
Atii...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni matokeo ya mtihani wa mwezi kwenye shule ya kata hapa jirani yetu. We ulifikiri nini? Mwangalie kwanza alivyotoa mimacho!!! Samahani lakini.......
0 Reactions
7 Replies
3K Views
GIRL: Baby, hebu niambie harusi yetu itakuwaje? BOY: Yaani hii haijawahi kushuhudiwa, ngoja nikupe kionjo kidogo tu GIRL: Enhee. BOY: Kwanza siku ya kupeleka mahari nitaswaga zizi zima la ng'ombe...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
habari zenu JF! Nmewahi kusafir nao hawa ndugu zetu...maeneo mengi..sifa nlizoziona ni wakarimu ila wanajiona/kujisifia mno! Wawaonaje au wawajuaje? Nimewakilisha
0 Reactions
30 Replies
11K Views
Kwakuwa kuuza mwili ni biashara haramu, je kunanjia mbadala ya kuwasiidia dada zetu wanojihusisha na hii biashara. Msemo wao: 1. Ajila hakuna. 2. Hali ya maisha ni ngumu.
0 Reactions
0 Replies
773 Views
1.ngono ni bure lakini mapenzi biashara 2.mabinti huumia zaidi wakipoteza simu kuliko bikra 3.mtu akiwa mwaminifu anaonekana dhaifu na mshamba kama mimi. 4.mabafu yamegeuzwa studio za kupigia...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Kipindi unakua yaani enzi za balehe umeshawai kuwa na kamchezo haka kauchokozi. Wanaume akina Shy land SUPU YA MAWE Polisi jamii grafani11 Mandingo Jipu limetumbuka vipi haka kamchezo...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Ni kipindi kirefu sana sikuoni, nikituma Pm hata hujibu, nakutafuta kwenye simu,whatssap, facebook hata instagram naona sikupati. Hebu uje bibie christine ibrahim nmekumis sana mumeo hata...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Miaka 3 iliopita nimekuwa katika matatizo makubwa sana.Nawashwa sana ukeni hospital wanasema ni fungus natumia dawa baada ya wiki tatizo linarudi pale pale nimekuwa mtu wa kujikuna muda wote uke...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Msichana kanitumia huu ujumbe "Niambie wangu" najisikia kama niko Mbingu ya saba si mchezo, wasichana wa kibongo wanajua kutupagawisha kwakweli.
0 Reactions
43 Replies
8K Views
Unaenda sehemu zako za starehe unakutana jamaa zako wawili watatu lakini mmoja anakwambia, ''Ndugu yangu, mwenzio leo nina hali mbaya, sasa badala ya kuninunulia hizo bia mbili, nisaidie hata...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini mabestito wangu Ni mengi tumejifunza na tumefundishwa kwa mwaka huu na mengi tumeyafanyakwa mwaka huu na mengine tumejikuta hatujafanya tokana na matatizo ya hapa na pale. Marafiki...
9 Reactions
18 Replies
11K Views
Je ni lini siku yako ya kuzaliwa.Je unaiandaaje siku yako ya kuzaliwa.Je unaiazimishaje siku yako ya kuzaliwa je ni starehe gani huwa inachukua nafasi kubwa kwenye siku yako ya kuzaliwa. :Kulewa...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Wapendwa leo ni birthday yangu napenda kuchukua fursa hi kujitakia maisha marefu yenye upendo na amani tele,love u.
4 Reactions
19 Replies
5K Views
Wachaga hebu acheni kunichanganya... hivi akina MANKA MUSHI wapo wangapi ? Kwani ukiitwa manka baba yako ni lazima aitwe mushi ? Mpaka sasa hivi nawajua akina Manka Mushi kama sabini hivi !!!
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Back
Top Bottom