youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
Katika hali isiyo yakutarajia nimejikuta nikileta mzozo kwenye kijiwe kimoja, baada ya kumuuliza dada mmoja wa maeneo yale kwamba ni wapi naweza pata huduma ya vocha ya Tigo. Anavyodai kwamba nimekosea kuuliza ni wapi nitapata Tigo, je ni kweli nimekosea kwa kauli hiyo.