JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Graduate akiwa kwenye interview anaulizwa what is your IT skills? kajibu facebook, twitter, viber, whatsapp, skype, jamiiforum, instagram, bbm. akaambia nenda tutakupigia simu. chezea mitandao ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nilipokuwa mdogo hadi nafikisha miaka20 nilikuwa natongozwa na wadada, yaani sikuwahi kutongoza kwa muda huo. shida imeanza nilipofikia huo umri. nilipokuwa shule ya msingi top five ya wasichana...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Leo katika safari yangu ya Dar es salaam to Dodoma kama kawaida nikakata siti ya dirishani.Mara ghafla kama maombi yangu kama yalikuwa yanasikilizwa akaja mtoto mmoja mzuri sana sema alikuwa...
3 Reactions
45 Replies
6K Views
Huyu mchumba wangu yeye na gest house ni paka na panya ,anataka aje kwangu sasa wakati mwingine mazingira ya kwangu hayaruhusu . Ninaishi na binamu yangu na wakati mwingine panakuwa na watu...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Marafiki watatu wameenda hotelini na na kulipa $30 ($10 kila mtu) kwa karani kukodi chumba. Alipofika Meneja wa hoteli, alimwambia karani, awarudishie $5, chumba ni $25 tu. Amefanya makosa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauliza tu jamani, kuna moderator wa kike kati ya moderators wote wa Jamii Forums.Just out of curious if Jamii Forums is an equal employer.
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Kichwa cha habari chahusika, nami natuma salaam zangu za upendo kwenu wote nakwa shemeji yenu/wifi yenu/mtoto wenu Lady doctor. Namchagulia wimbo wa 'Let's do it again' ulioimbwa na Arushaone...
27 Reactions
390 Replies
25K Views
Mtu anakuja anakuhuliza " heti mchaga na sigara nani anatoka moshi? Huyu mtu nilimshangaa sana nikaona watanzania wengi akili zao fupi !!! Hivi kama wewe ungemjibu nini mtu kama huyu?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Have a little fun today Condom says to Kotex,(pads) "When you work, I lose seven days of business." Kotex replies, "If you fail to work once, my business stops for nine months!"...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Once Upon A Time Was A Man Who Asked His GirlFriend if She Want To Marry Him .. His GF Answered Him . NO. So That Man From That Moment Was A Happy Man ... He Watched TV All The Time, Drink Beers...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa,Mungu ameskia kilio cha Walimu.Imetangazwa rasmi na rais ktk vyombo vya habari kuwa walimu wote nchini wataanza kulipwa posho ya Tsh185,000/= tar 15 ya kila mwezi na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
here are some awesome words of wisdom you might have missed out on: Buy high quality tools, so you only have to buy them once. Keep a change of clothes at the office. Never hit anyone unless...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Huwa najiuliza sijui hii aibu wanapata wapi wakati ni jambo la kawaida tu na ni afya pia.Hata nilipokuwa shuleni dada akipumua huwa anaona aibu tofauti na mwanaume anayejiachia popote pale tena...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hakika Valentine Day Hii Ya Majuzi Imeniacha Mikono Wazi Huku Nikipigwa Na Bumbuwazi Na Nisijue Lipi La Kufanya. Hivi Nyie Mademu Zetu Kwanini Mnataka Sisi Wanaume Wenu Tuwa Boko Haram? Siku Ya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwa wale waliosoma kisimiri tubadilishane mawazo na kukumbushana mawili matatu... (nilimaliza f6 2014}
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1. Fikiria namba yoyote. 2. Jumlisha hiyo namba na 7. 3. Toa mbili . 4. Toa namba uliyofikiria. 5. Zidisha mara 4. 6. Toa mbili. Jibu lako litakua 18.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Yaani valentine ya mwaka huu nimeshinda ndani tu sikuwa na wa kutoka naye kama wenzangu ngoja nianze mapema kabisa kufanya mipango kwa ajili ya mwakani. Roho iliniuma mno hasa nilipoona watu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
1 Reactions
3 Replies
1K Views
3 Reactions
17 Replies
5K Views
Back
Top Bottom