Ukweli utabaki kuwa ukweli hata kama dunia nzima tutaukataa .Kila mwanaume anahonga au alishawahi kuhonga katika katika historia ya maisha yake.
Kilichonifanya niandike thread hii leo ni kituko...
The idea is pretty simple!
... I'm starting with any name of the movie adding "- Between Your Legs" in the end ....
The next person will add another movie with same "... between your legs" and...
Baunsa mmoja kapumzika sehemu dogo
mmoja akamfuata.
DOGO: Oyaa blaza saa ngapi?
BAUNSA:Hebu ondoka usinsumbue!
DOGO: siondoki mpaka uniambie saa
ngapi!
BAUNSA: (Kwa hasira) Saa nane na
nusu
DOGO...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, Mungu ameskia kilio cha Walimu, Imetangazwa rasmi na Rais katika Vyombo vya habari kuwa walimu wote nchini wataanza kulipwa posho ya shilingi za Kitanzania 185,000/=...
Mambo ya Meseji za Kwenye Simu:
Hapa Mtaani kwetu, kuna Kijana mmoja alikuwa akimpenda sana msichana wa nyumba ya jirani. Lakini masikini huyu kijana hakuwa na ujasili wa kumweleza yule...
Walianza na halohaloooo, akaja na unalo babu weee,Ikafuata utajijuuu!Ikafupishwa utajiJJ,mara ghafla kantangazeee,
Haijakaa sana ikaja kansajiliii,Ikatokea nishiiiidaa,Imetoka mpya tena...
Sio siri wana cc kuna vitu ambavyo inawezekana vya ziada ambavyo mungu amemjaalia bujibuji vinafanya arefushe maisha yangu kwa kuwa na tabasam muda wote ninaposoma post na threads zake. Mungu...
Wanaforum leo nimefanikiwa kupata vifaa vyote muhimu kwa ajili ya uchawi na nguvu za kiza
Aliye tayari namkaribisha tuweze kushirikiana kuendeleza hii fani lengo kuu likiwa si kuumiza wala...
wakuu ktk pita pita zangu kwenye mabaa kutafuta nyamchom ya uhakika leo nikaamua kupita pale kona bar sinza nje jamaa wameanika nyama km mnadani dodoma.nimeechoma ya 4000 sikuamini macho yangu...
Kiukweli hawa jamaa post zao kiboko,huwa nacheka kama juha!huwa nachoka kabisa Rev Fr Masanilo anapowatania ndugu zetu waleee(suruali fupi fupi!!).wakuu mna talent ya kuchekesha kwenye keyboard!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.