JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Katika daladala mama mmoja alitaka kumnyonyesha mtoto wake. Mtoto akakataa! Mama akamwambia "nyonya kama hutaki nampa Anko anyonye" (Anko ni kaka mmoja abiria aliyekaa na huyo mama pembeni)...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Ulinikataa mbele ya rafiki zako. Ukanitangaza vibaya. Kusema kweli nilinyong'onyea sana. Inakuwaje sasa unaanza kuni PM na kunitumia sms za ajabu baada ya kuona niko na mtoto wa kizanaki. Kusema...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wanaume wameachana na kutamani makalio sasa mioyo yote imehamia kwenye hips yaani mwanamke akiwa hata flat screen kinamna ila hips imechomoza vidume hoiii
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Unakutana na binti mkali,ana kila sifa ya kuitwa mrembo.Ukimuangalia kutoka chini mpaka juu humtoi kasoro.Mtoto bado mbichi kabsa,ukimkadiria umri wake unaweza kusema ni under18. Ukimcheki...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Pamoja na kuwa yupo kwenye ile ya wasaka tonge team lakini nampendaga sana huyu mh. najikuta napenda kumsikiliza anapohutubia. Natamani kufanya nae maongezi kama rafiki wa kawaida.
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Wadau, mwanzoni mwa miaka ya 1980 wakati bado mdogo sana kiumri nakumbuka kusikiliza na kupenda nyimbo za jamaa mmoja aitwae L.M. Mugarula aliyekuwa akiimba na dada mmoja ambaye kutokana na sauti...
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Kuna comments na threads za members wa hapa JF zimekuwa zinaniongezea umri wa kuishi kwa kicheko, wewe umewahi kukutana na ipi, na ID yake ni ipi?
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Unanibip nikikupigia unaniuliza wewe nani.Unanipigia simu usiku wa manane, nikiuliza ulikuwa unasemaje eti nilikuwa nakusalimia. Mchepuko wako unamnunulia Iphone 5 mama yako anatembelea...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Gari imeondoka KARIAKOO kufika MANZESE konda akauliza kuna mtu anashuka? Abiria 1 akajibu: "Tumeziacha nyumbani tuna mitandio tu." kufika mbele.. abiria mwenye nyodo akawa anashuka UBUNGO...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Nunda akiwa darasani na mwalimu wake aitwae Jeni akiwa katika kufundisha somo la sayansi ya baiolojia juu ya mzunguko wa damu moyoni ,ghafla Nunda alinyanyua mkono na kusema anasuali anataka...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mwalimu alisema laiti jana ingekuwa kesho, leo ingekuwa ijumaa Je? mwalimu alisema hayo maneno siku gani?
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Jamaa baada ya ugomvi na waif mswahili alisusia msosi akaishia dili ile kurudi toka kazini kamkuta mkewe kavaa kanga imeandikwa "UKISUSIA WENZIO WALA" Ilipofika asubuhi kavaa kanga imeandikwa...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Amani ya bwana iwe nanyi wadau, tukiwa tunaelekea katika msimu wa sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya;ni dhahiri shahiri kwamba kila mmoja wetu angependa kumpa/kumpelekea mpenzi wake /mwenza wake...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Hakuna ubishi Members wengi wa JF tunapatikana Dar, haya tufahamiane kama majirani kwa kucomment unapoishi kwa hapa Dar Me napatikana Makongo juu, karibuni tufahamiane jamani.
0 Reactions
83 Replies
7K Views
Ni siku sasa zimepita. Tena zimetimia na kuunda wiki nne nne zinazounda mwezi. 🌃Nilianza kuhesabu mwezi wa kwanza, ukaja wa pili wa tatu nk. Kwa muda wote huo nilijiona nimekua...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nategemea Kusafiri Kwa Muda Mrefu Kidogo Kuanzia Muda Huu Ninapoandika Uzi Huu Na Nitapotea Kidogo Humu Kama Kwa Mwaka Moko ( 1 ) Je Mngependa Nikirudi Mwakani Tarehe 18 Mwezi February Niwaleteeni...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wanna be the best copycat ever and ever in the world?? Don't follow your dream but follow others. https://www.facebook.com/video.php?v=869631376426697&se...
0 Reactions
0 Replies
842 Views
Back
Top Bottom