Dogo na Baunsa!

Dogo na Baunsa!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,255
Baunsa mmoja kapumzika sehemu dogo
mmoja akamfuata.
DOGO: Oyaa blaza saa ngapi?
BAUNSA:Hebu ondoka usinsumbue!
DOGO: siondoki mpaka uniambie saa
ngapi!
BAUNSA: (Kwa hasira) Saa nane na
nusu
DOGO: poa ikifika saa 9 nakuja kukushika tako
BAUNSA: Unasemaje wewe mjinga
hunijuii
akaanza kumfukuza, dogo kakimbilia
nyumba jirani, Baunsa kamkuta mzee
nje ya ile nyumba
BAUNSA:Kuna dogo kaingia humu ndani
namtaka!
MZEE:Ndio nimemuona,
kafanya nini?
Ni mjukuu wangu
BAUNSA:Ah Kanambia eti ikifika saa
tisa atakuja kunishika tako
MZEE:sasa HARAKA YA NINI?
VUMILIA KIDOGO,
BADO DK 20
 
Baunsa mmoja kapumzika sehemu dogo
mmoja akamfuata.
DOGO: Oyaa blaza saa ngapi?
BAUNSA:Hebu ondoka usinsumbue!
DOGO: siondoki mpaka uniambie saa
ngapi!
BAUNSA: (Kwa hasira) Saa nane na
nusu
DOGO: poa ikifika saa 9 nakuja kukushika tako
BAUNSA: Unasemaje wewe mjinga
hunijuii
akaanza kumfukuza, dogo kakimbilia
nyumba jirani, Baunsa kamkuta mzee
nje ya ile nyumba
BAUNSA:Kuna dogo kaingia humu ndani
namtaka!
MZEE:Ndio nimemuona,
kafanya nini?
Ni mjukuu wangu
BAUNSA:Ah Kanambia eti ikifika saa
tisa atakuja kunishika tako
MZEE:sasa HARAKA YA NINI?
VUMILIA KIDOGO,
BADO DK 20

Daa, so mzee amejua jamaa ana haraka ya kushikwa takoh……!
 
Baunsa mmoja kapumzika sehemu dogo
mmoja akamfuata.
DOGO: Oyaa blaza saa ngapi?
BAUNSA:Hebu ondoka usinsumbue!
DOGO: siondoki mpaka uniambie saa
ngapi!
BAUNSA: (Kwa hasira) Saa nane na
nusu
DOGO: poa ikifika saa 9 nakuja kukushika tako
BAUNSA: Unasemaje wewe mjinga
hunijuii
akaanza kumfukuza, dogo kakimbilia
nyumba jirani, Baunsa kamkuta mzee
nje ya ile nyumba
BAUNSA:Kuna dogo kaingia humu ndani
namtaka!
MZEE:Ndio nimemuona,
kafanya nini?
Ni mjukuu wangu
BAUNSA:Ah Kanambia eti ikifika saa
tisa atakuja kunishika tako
MZEE:sasa HARAKA YA NINI?
VUMILIA KIDOGO,
BADO DK 20

ni xheeda
 
eeh mkuu.mzee ameona baunsa kaja speed wakati muda bado!

Usikute huyo baunsa anatafunwa, siunajua sikuhizi unaeza muona miraba minne subiri aeenze kuongea na kutembea utashangaaa hatari.
 
hahahahahaha. kweli mtalaam atakuwa bwabwa lakin tatizo lake ana haraka si asubiri hadi ifike saa 9.

Babu kaona mbali, unajua hawa wazee saa zingine wanaupeo mkubwa sana. Labda ana kiu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom