Walimu waongezewa posho na mishahara iko pale pale

Walimu waongezewa posho na mishahara iko pale pale

Mapengo 17

R I P
Joined
Mar 28, 2014
Posts
1,228
Reaction score
618
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, Mungu ameskia kilio cha Walimu, Imetangazwa rasmi na Rais katika Vyombo vya habari kuwa walimu wote nchini wataanza kulipwa posho ya shilingi za Kitanzania 185,000/= Tar 15 ya kila mwezi na mshahara wako wa mwezi uko palepale.

Hii ni ya huko Mexico kwa Tanzania bado kidogo, vuteni subira hadi fedha zilizoibiwa zirudi.
 
io inawezekana.kama ufisadi.mlima kil.mbuga za wanyama.madin esply TANZANITE.gold.GAS.ata zaidi na nyumba zao zikawa full acee mpaka jikon
 
Ha ha ha... Hili n jukwaa la utan ila ndugu angalia walimu wacje kuporomosha mineno.
 
Back
Top Bottom