Kuzaa si kupata: mkumbuke mtoto zigo

Kuzaa si kupata: mkumbuke mtoto zigo

aaamuk

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
707
Reaction score
209
Kila familia ina mtoto mmoja zigo..hembu lete story ya hawa watu na visa vyao
 
Zigo la familia ya baba yako ni ww bisha nidhitishe uzigo wako
 
Kama kuna mtaalam anayeweza kutoa ufafanuzi atusaidie tujue kwa nini hii kitu inatokea..unakuta familia nyingi zina mtoto mmoja yaani hana msaada kwa familia badala take yeye ndio anagharimu familia..
 
Kiukweli kama wazazi wangejua watoto wao wataharibika ukubwan hata wasingewazaa
 
Umpende vipi mtoto..maana.unamnunulia simu anapigia mabwana
 
Back
Top Bottom