nyama choma ya kona bar nje

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
7,547
2,000
wakuu ktk pita pita zangu kwenye mabaa kutafuta nyamchom ya uhakika leo nikaamua kupita pale kona bar sinza nje jamaa wameanika nyama km mnadani dodoma.nimeechoma ya 4000 sikuamini macho yangu nilipoletewa nyama imejaa sahani na ugali wa kufa ntu.ambayo baa zingine nauziwa 8000
Nimefurahi sana kupata sehemu ya nyamachoma ya ukweeli bilal uchakachuaji.
Mie hapa nshakuwa mteja wa kudumu
wakuu msisahau kupita hapa mkitokaa kwenye masanga,mi mtanikuta na toothpick
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,425
2,000
Kote huko mnaangaika, kiboko yako ni pale Congo Bar Kariakoo kuna branch yao ingine pale Mapipa panaitwa Chipopolo!
Jamaa hawa wanachoma Mbuzi, kuku, chips, sijaona Dar nzima
 
Kunta Kinte

JF-Expert Member
May 18, 2009
3,687
2,000
wakuu ktk pita pita zangu kwenye mabaa kutafuta nyamchom ya uhakika leo nikaamua kupita pale kona bar sinza nje jamaa wameanika nyama km mnadani dodoma.nimeechoma ya 4000 sikuamini macho yangu nilipoletewa nyama imejaa sahani na ugali wa kufa ntu.ambayo baa zingine nauziwa 8000
Nimefurahi sana kupata sehemu ya nyamachoma ya ukweeli bilal uchakachuaji.
Mie hapa nshakuwa mteja wa kudumu
wakuu msisahau kupita hapa mkitokaa kwenye masanga,mi mtanikuta na toothpick

Mkuu ni akili yangu inatafsiri vibaya au ndio maana yako? Kwa sababu hiyo bar mambo yake ni makubwa!!!
 
tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,125
2,000
Asante kwa taharifa zako,ila tatizo ni mtu ukionekana pale moja kwa moja
unaonekana uko mawindoni.jina la pale ni mbugani wanyama ni wengi kaziz kwako.
 
Mkirua

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
5,649
1,225
Mkuu inahitaji moyo kuegesha pale manake kuna biashara nyingi pale..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom