Kwa heri Queen, kifo chako kimeniuma sana

Kwa heri Queen, kifo chako kimeniuma sana

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
2,931
Reaction score
4,550
Mara ya mwisho kukutana na wewe ilikuwa zaidi ya wiki mbili zilizopita tulikutana kwenye bar ya Mushi ilogi kahama ulikokuwa unafanyia kazi,siku hiyo uliongea mengi sana na mimi,uliniambia wazi kuwa huwezi kurudiana na mume wako kwa mateso aliyokuwa anakupa,pamoja na kukubembeleza sana mrudiane bado uligoma kabisa,ukadai Mungu angekusaidia wanao wawili wangekua vizuri tu,leo hii nipo mwanza napigiwa simu kuwa eti haupo tena duniani na kifo chako ni utata mtupu,kwa kweli nimeumia sana,kwamba eti ulikuwa kakola kisha wanaume/mwanaume asiyejulikana alikupiga na kisha kukuwekea sumu kwenye kinywaji ni siri uliyoondoka nayo,nimeambiwa hata kuongea ulikuwa huwezi kwa hiyo ukashindwa kusimulia kilichokuwa kimekupata,hakika roho imeniuma sana,ni nini kilikusibu dada yangu? Nani kakuua? Ulikuwa unahangaika na kujiuzia sambusa zako maskini wamekukatili kinyama,ila yupo MUNGU wa haki atakayelipa juu ya ukatili uliotendewa,MUNGU amekusamehe dhambi zako maana wamekukatili,pumzika kwa amani dada yangu,mbele yako nyuma yetu
 
Una ushirika na Mungu wewe hadi ujue kamsamehe?!
 
Sijaelewa!!!! totally confused, who is Queen? Anyway JF ni sehemu ya kupunguza stress Pole mfiwa.
 
Ni sehemu nzuri ya kuanzishia ugomvi na maswali.Unayo maelezo ya "mpendwa" kupewa sumu.Je,unaweza kusaidia Jamuhuri kwa ushahidi zaidi mkuu!?
 
Kwa sheria hii mpya iliyokuja ya cyber criminal lazima utalisaidia jeshi la polisi ktk uchunguzi wake. Ukihitajika uende ukatoe maelezo mkuu
 
Sijaelewa!!!! totally confused, who is Queen? Anyway JF ni sehemu ya kupunguza stress Pole mfiwa.
Quoting stupid boy, eh sorry, wiseboy in post # 1, mfanyakazi wa bar ya mushi kahama.
 
Alafu nani alikudanganya ukiuawa Mungu anakusamehe dhambi zako??
 
izi mada nyingine jamanii.............
aya Queen muuza sambusa wako kafariki kwa kupewa sumu je unao uhakika?
 
Katika kipindi hiki, mtu anakuwa anahitaji faraja, wewe unampelekea karaha. Na hata wewe huna ushirika na Mungu kujua kwamba hajamsamehe. Kama huna hoja unanyamaza:

Achana na wiseboy

Una ushirika na Mungu wewe hadi ujue kamsamehe?!
 
Katika kipindi hiki, mtu anakuwa anahitaji faraja, wewe unampelekea karaha. Na hata wewe huna ushirika na Mungu kujua kwamba hajamsamehe. Kama huna hoja unanyamaza:

Achana na wiseboy
Dah, hata wewe?!
 
Gagnija; kwani nani anayejua huyo binti hakutengeneza ama alitengeneza na Mungu wake kabla roho haijaacha mwili? Tazameni watoza ushuru na makahaba wawatangulia katika ufalme.....

Hayo masuala ya kusamehewa ama kutokusamehewa tunamwachia Mungu ndiye Hakimu.

Kipindi cha huzuni, tunalia nao waliao na kipindi cha furaha tunacheka na wachekao.

Wiseboy ndiyo anavyoamini na hajui zaidi ya hapo. Anahitaji kufundishwa kwa upole na hekima ili ajue Neno linasemaje. Kum attack namna hii kunaweza kumscare, akaona tayari hili ni jeshi la adui, akakataa kusikiliza. Je matkuwa mmempata? Bahati mbaya watu wanachukia dhambi kiasi kwamba wanasahau kuna kuonya kwa uvumilivu na kufundisha kwa hekima.

Na hii ni imani ya watu wengi sana, huwa wanadhani ukiawa, aliyekuua kachukua na dhambi zako!. Hii imani siyo, lakini unabadilisha imani ya mtu aliyokulia pengine tangu kuzaliwa anasikia hivo hadi akaamni kwa kum attack?

Ninaiman Waalimu wako hapa watanisaidia.

Dah, hata wewe?!
 
Wewe utakuwa shetani la kiislamu lenye nasaba na al shabab si bure.

Masho.ga utawajuaaa tu kwa staili yao ya kutafuta mabwanaa

Haya wewe pumziko la pa.diri uisilamu umeingiaaje hapo
nenda parokiaaani ukatoe hicho kiny.eo chako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom