Kweli Pasaka ilifana kwa wana JamiiForums...

Kweli Pasaka ilifana kwa wana JamiiForums...

Ta Muganyizi

R I P
Joined
Oct 19, 2010
Posts
5,355
Reaction score
2,741
Ukiangalia posts za wana Jamiiforums leo asubuhi utacheka hadi ufe............sawa huwa kuna typo mistakes ila za leo asubuhi ni balaa....cha ajabu hata anayekosoa anakosea tena...loh. Hiki ni kiashiria tosha kuwa jana wanaJF waligonga vyombo vya haja.......hapa bukoba tumekesha na yamoto band.

Angalia hapo chini kuhusu thread ya Gwajima....na kwinginepo:-



shirika la nyumba NHS LIMEMTAKA MCHUNGAJI GWAJIMA KUHAMA HARAKA NA MARUFUKU KUSALI TENA VIWANJANI HAPO.

MYTAKE
TULIOSOMA PHYSICS TUNAJUA EVERY ACTION HAS EQUAL AND OPPOSITE REACTION.
UKIISHI NYUMBA YA VIOO HAIFAI KUANZA KURUSHIA WATU MAWE

SOSI RISE UP CTN TV


NHS Ni Shirima la nyumba la nchi gani?

quote_icon.png
By Ritz

Wiraza ya Mifugo ndiyo upi hiyo?

atajenga linginem always confrontation leads to vivtory


Nilijua ni NHC kama ni NHS watamalizana wenyewe...............
Hii yote ni kichekesho

... Tanzania Kumbe Kuna Mashirika Mengi Ya Ngumba, Mpaka Sasa Nimejua NHC NA NHS. Na Bado Mengine Ngoja Tusubirie

Nitaendelea kuaupdate.

Mnaochanganya susla ka Gwajima, Pengo na CCM.
Kwa kweli mnakosea kabisa na hamuoni the underlying priciples zilizovunjea hspo.

Kwanza ksbisa nisema siungi mkono tamko la zPengo akitofautiana na wakristo wenzake.
Pili matamshi ya Gwajima hayakuwa na hekima, busara wala maana yoyote, na hayskutolewa na nia njema.

Sasa hapo CCM inaingia vipi?
Unless mtu useme Pengo alitumwa kusema vile, tamko ambalo hata hivyo kwa mtu aliyelidoma lilikuwa la kawaida kabisa na ni mawazo yake binafsi.

Anachokipata Gwajima kwa maana ya mahojiano na uchunguzi anayastahili.
Kumekuwapo tuhuma nyingi viongozi wa dini kufanya biashara haramu kama madawa ya kulevya.
Gwajima muulizeni aseme ukweli alichohojiwa.

Atakspopelekwa mahakamani kwa hixo tuhuma ndo mtsuona umaarufu wake.
 
Hahahahahahaha kweli wafaa kuwa kifimbocheza Ta Muganyizi.

Hii nimeirudia kuisoma zaidi ya mara nne ili usiniwekee wino mwekundu na mimi.
 
Last edited by a moderator:
Ukiangalia posts za wana Jamiiforums leo asubuhi utacheka hadi ufe............sawa huwa kuna typo mistakes ila za leo asubuhi ni balaa....cha ajabu hata anayekosoa anakosea tena...loh. Hiki ni kiashiria tosha kuwa jana wanaJF walagonga vyombo vya haja.......hapa bukoba tumekesha na yamoto band.

Angalia hapo chini kuhusu thread ta Gwajima....na kwinginepo:-













Hii yote ni kichekesho



Nitaendelea kuaupdate.
mkuu nimecheka sana. Hata wewe hiyo ya Ya moto naona ilikuchemsha. Vipi mlikuwa Linas au kuna kiwanja kipya?
 
mkuu nimecheka sana. Hata wewe hiyo ya Ya moto naona ilikuchemsha. Vipi mlikuwa Linas au kuna kiwanja kipya?

Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.......................LINAS
 
Hahahahahaha!!!

Vyombo vilikolea hata mzee wa NHS alipiga kitimoto na vyombo vya kutosha sasa kaamka na faida.
 
Ukiangalia posts za wana Jamiiforums leo asubuhi utacheka hadi ufe............sawa huwa kuna typo mistakes ila za leo asubuhi ni balaa....cha ajabu hata anayekosoa anakosea tena...loh. Hiki ni kiashiria tosha kuwa jana wanaJF waligonga vyombo vya haja.......hapa bukoba tumekesha na yamoto band.

Angalia hapo chini kuhusu thread ya Gwajima....na kwinginepo:-













Hii yote ni kichekesho



Nitaendelea kuaupdate.
Mkuu kilaji kwa kwenda mbereee.
 
Huyo aliyeandika 'shirima' la nyumba na huyo aliyeandika 'wiraza' ya mifugo watakuwa walikua wanachanganya kiroba jogoo na banana wine.
 
Back
Top Bottom