Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Familia ya Avatar Sijuti wa Jf, inawakaribisha wana Jf wote kuchangia ujenzi wa nyumba yao utakao fanyika huko Mtwara mikindani kuanzia mwezi August 2015. Mchango wako wa hali na mali unahitajika ili kukamilisha ujenzi huu. Pia kutakuwa na chumba ambacho ni Self kwaajili ya wana Jf wote watakao kuwa wakija Mtwara. Kumbukeni kuwa kutoa ni moyo sio maini. Mchango wako utumwe kwa Pm. Ahsanteni.:help: :msela: