suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
Habarini wapendwa hope muwazima wote,
Baada ya holiday ndefu kidogo now tumerud mzigoni tena. napenda kuwashukru member wezangu wawili Mafikizolo na loveissweet kwa kuja kunitembelea home tanga nimefarijika sana sana sikutegemea.
Mafikizolo nashukuru sana sana Mungu akuzidishie kila lenye heri asante kwa zawadi mama angu nakupeda sanaaaaloveissweet nshukur kwa muda wako kuja kuniona nimefarjika sanaaaa
ushiboy ahhahha asante kwa salam nimezipata kama ulivyozitoa.
mamaafacebook.