kwa wale mtakao kuwa mnasherekea siwatakii pasaka njema. sijalipwa mshahara na sina hela na hata sijakaribishwa na mtu hadi sasa...hivyo nina hasira sana!
Jiajiri wewe, mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe.kwa wale mtakao kuwa mnasherekea siwatakii pasaka njema. sijalipwa mshahara na sina hela na hata sijakaribishwa na mtu hadi sasa...hivyo nina hasira sana!
Ukipata mafao yako niambie.mkuu baada ya hii pasaka ninaacha kazi...kama una idea niambie nijiajiri vipi!
kwa wale mtakao kuwa mnasherekea siwatakii pasaka njema. sijalipwa mshahara na sina hela na hata sijakaribishwa na mtu hadi sasa...hivyo nina hasira
hahahahaha
kwa wale mtakao kuwa mnasherekea siwatakii pasaka njema. sijalipwa mshahara na sina hela na hata sijakaribishwa na mtu hadi sasa...hivyo nina hasira sana!
aaaa Zamaulid hasira za nini sasa,we ka vipi nenda kwa masawe pale dukani kakope mchele,sukari na mazaga zaga mengi.
Kisha nenda kwa yule jamaa ako pale mtaa wa kati,halafu mkope elfu 20 uone ka sikukuu haitokuwa njema.
Zichukue kabisa afu tuonane maeneo ya mwenge.mkuu kesho navuta mpunga kwa mhindi...nimefurahi balaa maana najua watu wengine wameshaishiwa!!