Mzee mmoja aliwaacha wengi kwa kicheko.

Mzee mmoja aliwaacha wengi kwa kicheko.

ALINE KLEYPAS

Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
29
Reaction score
2
Na kweli ulimwengu kuna malimwengu.Mzee mmoja kutoka Mwembetayari aliwaacha wengi kwa kicheko,yesemakana babu huyu alioga na acid kichwani usiku wa kuamkia leo.La kushangaza ni kuwa baada ya kuoga na ile acid kichwani, alijikuta bila unywele huku akim'pigia mkewe kelele.'Mbona waniendea kwa wachawi?' babu akanena.
 
Halafu watu walipokuwa wanamshangaa na kumwonea huruma kwa kuunguzwa
na tindikali yeye akaona wanacheka!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom