Nimefwatilia sana vita na migogoro inayotokea Afrika chanzo sio sisi wenyewe bali huwa ni mtu Wa tatu ...sisi wenyewe tunagombanishwa..
1.Unamchukuliaje mtu anayekupa silaha alafu anashangaa mnapigana vita.
2.Unamchukuliaje mtu anayerubuni viongozi wetu alafu anasema hatujui kujitawala.
3.Unamchukuliaje Mtu anayeua viwanda vyako il I akuuzie bidhaa zake.
NB.Tunapomkumbuka Karume tusisahau sisi wenyewe hatuwezi kubaguana kama hatutaruhusu MTU wa tatu..