Jamaa: Mama, unajua nimefikia umri wa kuwa na familia. Huko mjini ninapoishi nimetafuta msichana bikra wa kumuoa sijampata. Kwa hiyo nimekuja huku kijijini unisaidie kutafuta.
Mama: Ukweli...
Mke: Hivi mume wangu, kati ya mimi na house girl unampenda nani?
Mume: (Akajibu kwa sauti ya ukali) Nakupenda wewe mke wangu. Sasa maswali gani hayo ya kipuzi tunaulizana?!
Mke: Nauliza kwa sababu...
Jamaa kafumwa na mke wa mtu, mwenye mke akamwambia, "Chagua moja; unipe nile tigo au nikufumue ubongo?" Jamaa kwa sauti ya unyonge akajibu, "Bro, kula tu tigo yaishe."
Tehe tehe tehe mke wa mtu sumu!
Siku ya kwanza Jamaa kapigiwa simu na mwanamke wake.
Mwanamke: Hi baby!
Jamaa: Hi uko poa mchumba? Mwanamke: Niko poa, baby nilikuwa na shida. Jamaa: Shida gani? Mwanamke: Naomba unitumie laki...
Wakuu,
Kesho jumatano natarajia kwenda Kyela, Mbeya lakini usafiri nitakaoutumia ni pikipiki ya tairi 3 yaani bajaji, na nitapita nayo pale mbugani Mikumi kwa kasi ya roketi, natumaini hakuna...
Kuna members wengi humu jf tangu uingie mwaka 2015 sijaona wakichangia wala kutoa Post ya habari yoyote ile, sasa hapo ndipo ninapojiuliza kuwa hawa members bado wapo hai Au tayari wameshatangulia...
Kuna mpita njia mmoja alikuwa anamtafuta jamaa ktk mtaa flani,akamwona Mluguru amekaa nje ya nyumba yake,akaamua kumuuliza,mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo:
Mpita njia: umemwona Mangi...
kila DEMU ukimtongoza anakuambia YUPO
INRELATIONSHIP..
afu kila BOY ukimuuliza anakuambia yupo
SINGLE.
sasa hao mademu wapo inrelationship na nani?? C elewi....������
Tehe tehe tehe!
Mzee mmoja alitoka kijijini kwenda
mjini kumsalimia mwanae wa kiume pamoja na
wajukuu zake. Alipofika akapewa msosi wa nguvu akala akashiba, mara
akasikia mtoto anaitwa, "Juma...
Enzi hizo Mtambuzi alikuwa na kazi ya pekee sana kuwaunganisha wana JF Wa Dar-es-Salaam pamoja akiandaa mikusanyiko ya members akianzia na ile ya Kebby's kisha muendelezo Leo Tuko Hapa Pub...
Ladies and Gentlemen!!
Our friends inlove!!
Leo tarehe 20 November, shansarie mpenzi wangu wa Rohoni na Mwilini anatimiza miaka kadhaa ya kuishi hapa duniani..
I thank God, for her life...
FAIDA KUU TATU ZA SIGARA
1. Mvuta sigara hazeeki
2. Mvuta sigara haumwi na mbwa
3. Mvuta sigara nyumbani kwake haingii mwizi
UFAFANUZI
1. Hazeeki kwa sababu hufa mapema kwa kifua kikuu
2...
Heri ya Mwaka mpya 2016. Moja ya vivutio vikubwa kwa wanandoa ama wanamchepuko wanapo kuwa kwenye ligwaride ni kile kinachoitwa :- kupiga denda/ kunyonya denda. Kitendo cha wawili hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.