Mume mkorofi.

Kirikou Wa Kwanza

JF-Expert Member
May 24, 2013
3,564
1,991
Mke: Hivi mume wangu, kati ya mimi na house girl unampenda nani?
Mume: (Akajibu kwa sauti ya ukali) Nakupenda wewe mke wangu. Sasa maswali gani hayo ya kipuzi tunaulizana?!
Mke: Nauliza kwa sababu nimeshangaa kukuta boxer zako kwenye chumba cha house girl.

Tehe tehe tehe kilichotokea nasikia mke alichezea kipigo cha mbwa mwizi!
 
Last edited:
Back
Top Bottom