Mzee kutoka shamba.

Kirikou Wa Kwanza

JF-Expert Member
May 24, 2013
3,564
1,991
Tehe tehe tehe!

Mzee mmoja alitoka kijijini kwenda
mjini kumsalimia mwanae wa kiume pamoja na
wajukuu zake. Alipofika akapewa msosi wa nguvu akala akashiba, mara
akasikia mtoto anaitwa, "Juma mletee babu yako tishu." Mzee aliposikia hivyo akadakia, "Aa jamani nimeshiba, hizo tishu niwekeeni n'tanywea chai kesho asubuhi".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom