Heri ya Mwaka mpya 2016. Moja ya vivutio vikubwa kwa wanandoa ama wanamchepuko wanapo kuwa kwenye ligwaride ni kile kinachoitwa :- kupiga denda/ kunyonya denda. Kitendo cha wawili hao kubadilishana mate.
Sasa mimekuja na mbinu ambayo itawafanya wanandoa ama wannamchepuko kupiga denda muda wowote na mahala popote. Mbinu hii mpya kabisa niliyoigundua mm mtanzania mwenzenu mwanzoni kabisa wa Mwaka 2016 nimeipa jina la " denda take away".
Hii inasaidia mtu mke ama mtu mume kupiga denda LA mwenzi wake anapokuwa kazini, safarini ama nyumba za ibada.
Namna ya kuandaa. Kila mtu achukue chupa ya maji ama soda iliyo tupu. Tema mate kiasi cha kutosha kama unaweza jaza kabisa. Kisha mkabidhi mpenzi wako. Atakunywa/kunyonya mate hayo kila anapo kumiss.
Asante