Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,991
Siku ya kwanza Jamaa kapigiwa simu na mwanamke wake.
Mwanamke: Hi baby!
Jamaa: Hi uko poa mchumba? Mwanamke: Niko poa, baby nilikuwa na shida. Jamaa: Shida gani? Mwanamke: Naomba unitumie laki mbili. Jamaa: Laki mbili ya nini? Mwanamke: Nataka kununua lotion. Jamaa: Poa n'takutumia.
Siku ya pili mwanamke akapiga simu, "Baby leo utan'tumia?" Jamaa akajibu, "Nivumilie kidogo n'takutumia."
Siku ya tatu kama kawaida Jamaa akajibu "Nivumilie kidogo n'takutumia." Siku ya nne majibu yakawa yale yale, siku ya tano majibu yakawa yale yale, siku ya sita majibu yakawa yale yale!
Siku ya saba mwanamke akamtolea uvivu akauliza, "Hivi mpenzi hiyo pesa utan'tumia lini? Jamaa akajibu, "Aa n'takutumia tu baby usijali." Dah mwanamke akaja juu "Wewe ni mwanaume suruali yani laki mbili tu imekushinda! Mimi na wewe basi! Jamaa akajibu, "Nashukuru kwa kunipunguzia mzigo, unataka laki mbili ya kununua lotion unadhani pesa zinaokotwa ee tehe tehe tehe!" Mwanamke akasonya halafu akakata simu.