Mluguru Na Mpita Njia!

TEKNOLOJIA

JF-Expert Member
Jan 6, 2014
4,305
2,563
Kuna mpita njia mmoja alikuwa anamtafuta jamaa ktk mtaa flani,akamwona Mluguru amekaa nje ya nyumba yake,akaamua kumuuliza,mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo:

Mpita njia: umemwona Mangi?

Mluguru: ndiyo nimemwona, alikuwa kwa Zungu anachinja mbuzi,alipomaliza akaenda mtoni...halafu akarudi.

Mpita njia: kwahiyo yupo nyumbani sio?

Mluguru: ndiyooo (akajibu kwa ukali kidogo).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom