Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,991
Jamaa mmoja aliondoka asubuhi nyumbani
kwenda kazini, Ilipofika mchana
akampigia simu mke wake.
Jamaa: Haloo Mke wangu vipi?
Mke: Safi.
Jamaa: Uko wapi? Mke: Niko nyumbani napika.
Jamaa: Kama kweli uko nyumbani
washa Blender nisikie.
Mke: (Akawasha) Umesikia?
Jamaa: Sawa nitakuja Baadae.
Siku ya pili hivyo hivyo akapiga simu. Jamaa: Haloo mke wangu upo salama?
Mke: Nipo salama.
Jamaa: Uko wapi?
Mke: Kama Ulivyoniacha asubuhi
nyumbani.
Jamaa: Kama kweli uko nyumbani washa Blender Nisikie?
Mke: (Akawasha) Umesikia?
Jamaa: Sawa nitakuja baadae.
Jamaa akaendelea kufanya huo mchezo siku sita mfululizo, siku ya saba akarudi nyumbani bila kumpigia simu mke wake, alipofika nyumbani akamkuta dada wa
kazi yuko peke yake akamuuliza
"Vipi mbona uko peke yako mama yako yuko wapi?
Dada akamjibu "Sijui maana ulivyotoka na yeye katoka na Blender
tangu asubuhi."