Asante sana mkuu,kheri ya mwaka mpya 2016.Nipende kuwa muwazi binafsi nilivutiwa na mada za mshana jr na nifar.
2015
Nilifikiri ni mimi tu nawaza hivyo, nimecheka sanaBwana @K 4 REAL huyu jamaa ni noma kaonesha kua adi wajinga wananafasi yao katika jamii
Haha happy new years mkuuNilifikiri ni mimi tu nawaza hivyo, nimecheka sana