mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,020
- 1,087
Kuna members wengi humu jf tangu uingie mwaka 2015 sijaona wakichangia wala kutoa Post ya habari yoyote ile, sasa hapo ndipo ninapojiuliza kuwa hawa members bado wapo hai Au tayari wameshatangulia mbele ya Haki!!!!!??
Basi tukielekea kuumaliza mwaka wa 2015 na kuingia mwaka mpya wa 2016 ni vizuri kila mmoja wetu aka-comment neno "Hai" ili kujua kama bado tupo wote au kuna wale waliotangulia mbele ya Haki.
Mpe taarifa member mwenzio aje hapa aweke Comment.
Mimi nawapa taarifa wafuatao, #Cnjona, #bantulady #mmawia.