Sawa Madenge

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
1460036809403.jpg
 
Siku moja mwalimu akauliza swali ivi humu darasani ni nani anaweza akatuonyesha mfano wa kichuguu. madenge akawambia twendendeni nyumbani wafika kwao akawaonyesha kichwa na baba yake akasema hiki kichwa ndio mfano wa kichuguu.
 
Back
Top Bottom