Wapenzi wa muvi za Nollywood (Nigeria)

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,672
6,872
Natumai mpo sawa wapendwa,
Mimi ni mpenzi sana wa Hizo muvi,
Kwa sasa huwa naingia moja kwa moja youtube na kujipakulia muvi yoyote ile.
Naomba tusaidiane kuelekezana muvi nzuri sana ambayo uliikubali na ungependa nasi tuifurahie.
Mimi naanza
1.Submission
2.Casandra
3.unwAnted musketer
4.THE KING IS MINE
N.k
Naomba muvi utayotaja ikiwezekana sema inahusu nini,
Ahsanten sana.
Karibuni.
 
Hebu wacha nicomment labda ntakuletea kismati watu wauone uzi wake...JF bwana, watu wanakupita kama hawakuoni...
 
Back
Top Bottom