Umeshawahi kuandika uzi kuhusu mtu hapa jf halafu huyo mtu akausoma na kukupigia na kukueleza kwanini umemuandika kwenye jf. Au umeshawahi kuusoma uzi hapa jf maelezo yake ni kama mambo...
Habari JF?
Kuna uzi mmoja humu nimeusaka leo siuoni ili nitoe mrejesho, kifupi ulikuwa na namba nyingiiii za machangudoa wa jijini na nzuri zaidi members waliweka na wajihi wa Changu husika...
Mwanzilishi wa hili neno KUGEGEDA alikua anaitwa mzabzab , na alikua mtu maarufu sana humu MMU miaka hio ya 2012 kwa thread zake kabla ya kupotea ghafla.
Yuko wapi mwenzetu huyu?
Ni mtu ambaye...
sijui tuseme ni majob less au ni umbea, au ni malezi, au ni ulimbukeni.. unakuta mwanaume na akili zake ananua gazet la udaku afu anaanza kufuatilia habari ya diamond na zari au wema na idrisa au...
Nimeanza kufuatilia utamu huu tangu na tangu lakini hadi leo bilabila, kisngizio ni kwamba mie mtoto nitafute waoto wenzangu! Hawa wamama wanasahau kwamba kile sio kiatu kwamba wakitutunuku labda...
Kichwa cha habari hapo juu chahusika.
Poleni na majuku ya kulijenga taifa wana jf kama sio watanzania. Nia ya kuleta huu uzi ni kutaka kujua au kuangalia ni kwa jinsi gani computer au pc au...
mara nyingi wanaume wenzangu wemekua wakileta thread wakilalamika humu mara oooh! napigwa sana mizinga! mara tumejuana jana tu leo anataka nimtumie laki mbili, mara ooh! jana tu nimempa 50, leo...
mtoto kamwita baba yake kumtonya sir moja hv na ikawa hv
>mtoto : baba
>baba : naam mwanangu
>mtoto : nimesikia jirani akimwita mama honey na mama anamwita baby mara sweatheart.
>baba : tatizo...
Japo hatuonani kwa sura na wengi wetu wanatumia username feki lakini JamiiForums inatukutanisha kimawazo.
Ni forum ambayo haikosi kitu utakasirika,utacheka,utafurahi n.k
Lakini wapo members...
Zamani mtu akiolewa humskii kama week hivi au mwezi ana honey munika. Sikuhizi harusi leo kesho ndio wa kwanza kuamka kabla yako unakutana mapicha Instagram.
Yaani usiku wa honeymoon, saa kumi na...
Wakuu, nafuata ule msemo kuwa kama una silaha, hata bomu la maangamizi na adui anakusumbua, wewe tumia tu, kwa hiyo ni ujinga kuwa na ulimbo lakini ndege wanakusumbua na wewe unawaangalia.
Sasa...
Sabakher Wadau; Baada Ya Kukutana Sana Hv Viumbe {Approximately 50} Nimeona Leo Nitoe Huduma Ya Kwanza Pale Unapokutana Au Kuisi Umekutana Na Jini!
My Brothers And Sisters There Is No Any...
Wakuu,
Hii njia sio ya kawaida lakini najua ni effective. Mara nyingi wanaume tunakuwa na taarifa sahihi kuhusiana na tabia za wanawake, hasa ni wanawake wa aina gani wanafaa kuolewa, tena mbaya...
Mfano Siku Moja Umekaa Sehem Halafu Mara Anatokea Polisi Mdosi Anakuonyesha Na ID Anakwambia Ametumwa Kukukamata Na Uko Chini Ya Ulinzi, Na Ukiangalia kweli Kuna Kosa Fulani Ulifanya. Utafanyaje?
Wakuu,
Kuna best yangu anaishi Kimara mwisho jana usiku aliota anakimbizwa sana na vibwengo watu, jamaa alikimbia sana mpaka miguu ikagusa kisogoni lakini aliposhtuka usingizini mida ya saa 8...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.