Mjue mfanya biashara mkubwa wa madawa ya kulevya ,bangi n.k Mr Erasto magingi....

mtulivuu

Member
Dec 18, 2015
60
24
Hatimae baada ya kufanya biashara hiyo kwa muda mrefu jipu lake latumbuliwa darasani ....akihoji mwalimu kama ifutavyo:
Mwalim aliingia darasan akauliza wanafunzi ukitoka shule unafanya nn???

Mwanafunzi wa kwanza "ninaenda kwa Erasto magingi kununua bangi"

Mwanafunzi wa pili "huwa naenda kwa Erasto magingi kununua sigara"

Mwanafunzi wa tatu "huwa naenda kwa kwa Erasto magingi kununua gongo"

Mwanafunzi wa nne "huwa naenda kwa Erasto magingi kununua Madawa ya kulevya"

Mwalimu Mmmh!? Na wewe.....!!!!????

Mwanafunzi wa tano "huwa nnakaa Nyumban ninajisomea na kufanya home work"

Mwalim.Safi sana kijana mzuri mwenye mfano wa kuigwa....!!!! unaitwa nan?????

Mwanafunzi.'Erasto magingi

Ungekuwa Mwalim ungemfanyia nini Erasto magingi....!!!?
 
Back
Top Bottom