Magnificient
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,162
- 705
Yaani kwa mitandao yooooooote hapa duniani basi JF ndio MTAKUJA na HATOKI MTU HAPA. Hivi huyu muanzilishi wa JF katuwekea kimzizi gani?
Maana ukishaizoea JamiiForums utaifurahia kila siku, haichoshi na kila siku utakuwa unaimiss tu.
Ni kama pombe tu au madawa ya kulevya, inasisimua mwili, inaburudisha na kustarehesha; kikubwa zaidi inafunza sana. Lakini haina madhara kwa afya.
JF ina limbwata? Au Matambiko yake ni bab kubwa?
Natania tu jamani...
Haa haaa haaaaaa.........