Mwana Jf Bora Kwa Mwaka 2015 Upande Wa Picha Kama Tanzu Za Fasihi, Kuelimsha Na Kuburudisha

Hongera sana Mshana Jr , Sikukuu Njema Kwa Wana Jf Wote

mshana jr yuko safi mno kwenye hili eneo.Hongera mkuu!

Mshana Jr shikamoo

kongole sana @ Mshana jr

Kusifiwa ni mojawapo ya mahitaji muhimu ya mwanadamu, mengine ni kupendwa kuheshimiwa na kujaliwa utu wake
Mtu akikusifia unajisikia vizuri... Nami nasema nimejisikia vizuri LAKINI bila ninyi bila JF yote haya yasingekuwepo kwahiyo hii ni teamwork ASANTENI SANA
 
Last edited by a moderator:
Kusifiwa ni mojawapo ya mahitaji muhimu ya mwanadamu, mengine ni kupendwa kuheshimiwa na kujaliwa utu wake
Mtu akikusifia unajisikia vizuri... Nami nasema nimejisikia vizuri LAKINI bila ninyi bila JF yote haya yasingekuwepo kwahiyo hii ni teamwork ASANTENI SANA

ubarikiwe sana mkuu
 
kheee ina maana hawakuniona na mm humu kuwa ni mwanajf bora wa kike humu nndani mjengoni?
 
Hatujivungi hatujivuni, Mshana jr mbele kwa mbeleeee!:D:D:D:D:D

Wale wenye wimbo wenu kama nimeukosea kumradhi:rolleyes:
 
Back
Top Bottom