Mungu Mweusi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 1,474
- 1,079
Hivi kwa nini watanzania wengi miili imejaa chale? Kama unabisha muangalie rafiki yako hapo
Mbona mimi sina hata moja na wengi marafiki zangu hawanaHivi kwa nini watanzania wengi miili imejaa chale? Kama unabisha muangalie rafiki yako hapo
Mbona mimi sina hata moja na wengi marafiki zangu hawana
Ha ha ha,acha uchokozi...Jamaa kasema nimwangalie hata rafiki aliye karibu yangu...Hata usoni sitamuonaMkuu uliwakagulia wapi?
Ha ha ha,acha uchokozi...Jamaa kasema nimwangalie hata rafiki aliye karibu yangu...Hata usoni sitamuona
Inawezekana kabisa.Ila najua hawajawahi hata kuzungumzia mambo ya karumanzila na hawapajui so najua hawana lolote.Ila nimeshawahi kuona watu aina hyo mwili umeharibiwa na chale hadi basi.Unakuta bint mwingine mrembo kweli ila chale alizonazo ni balaa.Mkuu nyingine huwa zipo sehemu ambazo hazifikiki kirahisi.
Nafikiri hizo chale, watu waliozaliwa vijijini ndiyo wanazo sana. Na haswa wale ambao wazazi wao hawaamini katika nguvu za Mungu. Maana uwapiga chale watoto wao kama njia ya kuwalinda na nguvu za giza. Hivi ndivyo ninavyoelewa.
Nasikia na wachaga siku hizi wanazo za kutoshaUnaonekana una urafiki na wamakonde
Sijaziona badoNasikia na wachaga siku hizi wanazo za kutosha
Yule wa MagomeniChale yupi?
Sawa. Lakini sidhani kama nimefanya generalisation kwenye kile nilichoandika. Ndiyo maana nimekuwa very specific kwa kusema haswa wale wasiomwamini Mungu. Kwa hiyo kama mtu anapigwa chale kwa nia ya kutibu ugonjwa, na huku akiendelea kuwa na imani na Mungu, hiyo ni sawa. Ilmradi tu kupigwa chale huko kusifanywe kwa njia za 'kupiga ramli' ama kishirikina. Maana kama mtu anaenda kupigwa chale kwa kutibu ugonjwa ambao anahisi kuwa amerogwa ama kutupiwa jini, hapo kunakuwa hakuna imani katika Mungu.Mkuu usifanye general conclusion ya namna hiyo, chale nyingine ni za kutibu baadhi ya magonjwa kwa njia za kienyeji wala hazina chochote cha kufanya na nguvu za giza
Unamaanisha wa mikoani ....au ?Wengi wao ni wale wanaotoka vjijin most their parents believe in witch doctor