Achana na wanawake wavivu

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
Wife. : Hallo mpenzi, mambo!

Husband : Poa baby!.

Wife. : Uko wapi?

Husband : Mimi niko town napata
lunch.

Wife. : Wow! Unarudi saa ngapi?
Nina njaa dear, nataka uniletee
msosi.

Husband : Narudi baada ya nusu saa,
Nikuletee nini?

Wife. : Niletee chipsi kuku, soseji,
mayai manne yakaangwe pembeni,
baga, piza ya samaki waweke
mayonaize, coka take away ya
baridi, mkate wa moto kwenye ile
bekari ya Wapemba na maji ya
kunywa chupa kubwa ya
Kilimanjaro.

Husband. : Umesahau viti, meza,
leseni, masufuria, sahani na vijiko.

Wife. :Kwa nini dear?
Husband. :Naona hutaki kula,unataka
kufungua hoteli!
 
Wife. : Hallo mpenzi, mambo!

Husband : Poa baby!.

Wife. : Uko wapi?

Husband : Mimi niko town napata
lunch.

Wife. : Wow! Unarudi saa ngapi?
Nina njaa dear, nataka uniletee
msosi.

Husband : Narudi baada ya nusu saa,
Nikuletee nini?

Wife. : Niletee chipsi kuku, soseji,
mayai manne yakaangwe pembeni,
baga, piza ya samaki waweke
mayonaize, coka take away ya
baridi, mkate wa moto kwenye ile
bekari ya Wapemba na maji ya
kunywa chupa kubwa ya
Kilimanjaro.

Husband. : Umesahau viti, meza,
leseni, masufuria, sahani na vijiko.

Wife. :Kwa nini dear?
Husband. :Naona hutaki kula,unataka
kufungua hoteli!
HATAREE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom