Washkaji watatu

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
Jamaa watatu walikodisha chumba kwenye hotel ya ghorofa 60, wao wakapata ghorofa ya mwisho kabisa, wakapanda kwa lift na asubuhi wakashuka kwa lift, jioni walivyorudi wakakuta umeme umekatika wakakubaliana wapande ngazi huku wakipiga stori, wakwanza apige za kutisha kuanzia ghorofa 1 mpaka ya 20, wapili apige za kuchekesha kuanzia 21 mpaka ya 40, watatu apige za kuhuzunisha kuanzia 41 mpaka 60, wakapanda walivyofika ghorofa ya 59 yule watatu akasema hii ndio itakua ya kuhuzunisha zaidi,,, TUMESAHAU KUCHUKUA FUNGUO PALE RECEIPTION..
 
Back
Top Bottom