Toa Maon; Siku Ukiambiwa Mimi Ndugu Yako Wa Damu Utafanyaje?

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Sabakher Wadau; Hv Siku Ikitokea Ukaambiwa Kuwa Yule Mbaba Mwenye ID ya Mzama Chumvin Jamiiforums Ni Ndugu Yako Wa Damu Utafanyaje?? MATUS SITAKI
 
Binadamu wote ni ndugu wa damu.

Huyo tayari ni ndugu yako kwa msingi huo.
 
" Sote Ni Ndugu...Sisi Sote Ni Ndugu *2x Watoto Wa Baba Mmoja Sote Ni Ndugu" Nani Anikumbushe Huu Wimbo Aliumba Nani? Simjui Ila Niliwaha Usikia, Hiyo Ni Chorus Kitu Kma Hicho.
 
" Sote Ni Ndugu...Sisi Sote Ni Ndugu *2x Watoto Wa Baba Mmoja Sote Ni Ndugu" Nani Anikumbushe Huu Wimbo Aliumba Nani? Simjui Ila Niliwaha Usikia, Hiyo Ni Chorus Kitu Kma Hicho.
Justine Kalikawe all the way from Bukoba, baba ya muziki babu ya reggae Tanzania (R.I.P)
 
Back
Top Bottom