Earthworker
Member
- Jul 15, 2011
- 83
- 30
Nimeanza kufuatilia utamu huu tangu na tangu lakini hadi leo bilabila, kisngizio ni kwamba mie mtoto nitafute waoto wenzangu! Hawa wamama wanasahau kwamba kile sio kiatu kwamba wakitutunuku labda vitatupwaya!
KATU SITOCHOKA KUMFUATA NIKICHOKA NIMEMPATA! WACHA ANISUMBUE SUMBUE ASINIKUBALI HARAKA!
KATU SITOCHOKA KUMFUATA NIKICHOKA NIMEMPATA! WACHA ANISUMBUE SUMBUE ASINIKUBALI HARAKA!