Utafanyaje?

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,290
2,468
Mfano Siku Moja Umekaa Sehem Halafu Mara Anatokea Polisi Mdosi Anakuonyesha Na ID Anakwambia Ametumwa Kukukamata Na Uko Chini Ya Ulinzi, Na Ukiangalia kweli Kuna Kosa Fulani Ulifanya. Utafanyaje?
 
Mfano Siku Moja Umekaa Sehem Halafu Mara Anatokea Polisi Mdosi Anakuonyesha Na ID Anakwambia Ametumwa Kukukamata Na Uko Chini Ya Ulinzi, Na Ukiangalia kweli Kuna Kosa Fulani Ulifanya. Utafanyaje?
hazole1
wambura marwa
Wakati walipokuwa wahindi ktk jeshi la polisi hapa TZ, hapakuwepo na uhalifu huu uliyo kubuhu !!
ulizeni muambiwe.. vipi Full force ilivyodhibit!
 
Nachojua Wahindi Ni Wadhaifu Sana Linapokuja Suala La Kutumia Nguvu
 
Back
Top Bottom