Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,487
Mwanzilishi wa hili neno KUGEGEDA alikua anaitwa mzabzab , na alikua mtu maarufu sana humu MMU miaka hio ya 2012 kwa thread zake kabla ya kupotea ghafla.
Yuko wapi mwenzetu huyu?
Ni mtu ambaye ulikuwa ukija hapa MMU unaomba ushauri wowote wa mapenzi yeye lazima akushauri ukagegede tu, hata kama ni mambo ya talaka lazima ashauri kuwa pamoja na kuachana kwenu lakini hakikisha hamuachi kugegedana.
Ilifika wakati akawa anashauri hata ndugu akikaa vibaya we gegeda tu, ndio maana hili neno lilishika kasi sana na kuwa moja ya msamiati wa MMU.
Kapotea ghafla sijawahi kuona uzi wake wala comment yake humu tangu 2013 hivi, yuko wapi huyu mwenzetu mpenda papuchi?
Isije kuwa papuchi zimemnaniliu...