Hahaha huyu baba!!

Goodluck TZ

JF-Expert Member
Oct 24, 2015
1,448
661
mtoto kamwita baba yake kumtonya sir moja hv na ikawa hv
>mtoto : baba
>baba : naam mwanangu
>mtoto : nimesikia jirani akimwita mama honey na mama anamwita baby mara sweatheart.
>baba : tatizo ukoo wetu una majina meng
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom