St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,166
Umeshawahi kuandika uzi kuhusu mtu hapa jf halafu huyo mtu akausoma na kukupigia na kukueleza kwanini umemuandika kwenye jf. Au umeshawahi kuusoma uzi hapa jf maelezo yake ni kama mambo yaliokutokea wewe. Au umeshawahi kuufata ushauri kutoka jf na kufanikiwa au kuharibikiwa zaidi.