Serikari ikimaliza kupambana na watumishi hewa wageukie na hili la wachumba hewa,watu wanakuwa na uchumba wa zaidi ya miaka mitatu hata nyumbani hawapelekani
Naomba kuuliza hivi Condoms nazo zingeadimika sokoni umma / wananchi wangelalamika kama wanavyolalamika kukosekana au kuwa na uhaba mkubwa wa Sukari?
Kati ya Sukari na Condoms ipi ni hitaji...
Wasee niaje?
Mimi ni ule msee huwanga sikosi shida kwa area. Si Mnajua maisha zangu na mastory zake huwanga tu ni sad!! Wacha niwashoo vile ni mabalaa tu zinanisonhesha kaa kijeshi, at least...
Habari wanajamvi?
Kwa mfano,umeona upepo umekula mkate wako mwenyewe mara ukahisi panga pembeni ya mchanga kuna upawa wa kukwangulia lami mle kwenye buldozer halafu maji yanakufagilia ule mfagio...
Asala Aleikum, niko fiti lakini siku ya leo
inanikalia tu ngumu ata hivyo siwezi anza kuteta juu ni wengi wamejaribu lakini sumu.
sioni haja ya kuingia kwa bafu ju ni jana tu nilijimwagia ka...
Ebwana wanaJF Mzuka!
Bado siamin kabisa had sasa napoandika hii posti jina lang alijaorodheshwa kwenye Orodha ya matajir waliotunza hela Panama.
Nilishikwa na waswas na kukosa aman toka jana...
Raisi Wa bongo marekani Na Russia walikwama kwenye ndege iliokua Na wao watatu Na marubani wawili. Ila bahati mbaya parachute zilikua mbili tuu... Ikabdibwapige kura maraisi gani wawili wapone...
Kutokana na Uhaba mkubwa wa Sukari iliyoadimika kwa Makusudi Watanzania sasa wamepata njia mbadala ya kunywa chai kwa kutumia aina nyingine ya Kichocheo kitamu.
Hali hii imepelekea sasa...
Mkuu wa wilaya ya Iringa dc kasesela kapata media airtime ninoma..!
Jamaa kama kawaida yake anapenda maujiko sana! Linavyojiuza hili jamaaa linapenda maujiko sana.
Mara nyingi mtu akiwa ameishiwa pesa hata ya kununulia chakula na inapotokea akaomba msaada kwa rafiki zake au ndugu huambulia kununulia pombe za hela nyingi lakini kumpa hela kidogo ya kununulia...
Habari,
leo natoa ya moyoniNampendma sana Jacke but ilinikamwambie yaliyo moyoni mwangu pesa sina za kunifikisha kwao
Japo kua nilisha semaga siwezi kuzama chumvini ila kwa Jackie nitazama...
Hivi mfano mtu anakupa namba yake ya simu lakini ukimtumia meseji ajibu wala simu ukimpigia apokei, acheni basi tabia hizo mnauzi sana,pia haihusu mapenzi au mahusiano wala sio ya kutongozana na...
Deo alipimwa Malaria ikawa kidole damu haitoki vizuri.....lkabidi nesi amminye kidole taratibu ili damu itoke.....Katika kuminywaminywa Deo si akaona raha!! Akamwambia nesi "MKOJO PIA HAUTOKI"...
Mambo vp wadau.
Mama mmoja wa kabila fulani kanda ya kaskazini alienda hospitali kumpima mwanae mwenye miaka 10 manake alikuwa anasumbuliwa na tumbo, alipofika akaambiwa akalete choo cha mwanae...
1. KUNYA-Kiukweli unapokuwa unakunya unasahau shida zote za Dunia hii.
2.KULALA-Hakuna atakayebisha wakati usingizi unakuchukua ni utamu na raha kiasi gani unaipata na kusahau shida zote za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.