Joweba
Senior Member
- Aug 13, 2015
- 166
- 87
Mambo vp wadau.
Mama mmoja wa kabila fulani kanda ya kaskazini alienda hospitali kumpima mwanae mwenye miaka 10 manake alikuwa anasumbuliwa na tumbo, alipofika akaambiwa akalete choo cha mwanae akajibu choo cha nyumbani kwangu kina magogo, akaambiwa hapana sio choo kama choo bali ni mavi ya mwanao ili tuyapime, akaelekezwa mahali choo kilipo, kufika chooni dogo akaachia mzigo wakutosh(mavi) karibia sado zima Mama nae alivo mshamba akayabeba mavi yote nakumpelekea examiner wa maabara, watanzania nao walivo wapambe Mama wakati anapita na rundo la mavi kwenye korido wakaanza kucheka badala ya kumtonya, daah hi Tz.