Kuadimika kwa Sukari au Condoms ipi ni hatari zaidi kibinadamu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,212
Naomba kuuliza hivi Condoms nazo zingeadimika sokoni umma / wananchi wangelalamika kama wanavyolalamika kukosekana au kuwa na uhaba mkubwa wa Sukari?

Kati ya Sukari na Condoms ipi ni hitaji muhimu la Mwanadamu hasa katika ustawi wake mzima wa Kimaisha na Kiafya?

Karibuni tulijadili wakuu.
 
Siku hizi ukisema NGOMA, picha inayokuja ni kichwani ni yule wa Yanga. Maskini UKIMWI Siku hizi nyota yake imefifia.
 
Back
Top Bottom