Cheki Raisi Wa bongo

mwanaMtata

JF-Expert Member
Oct 18, 2014
2,393
1,433
Raisi Wa bongo marekani Na Russia walikwama kwenye ndege iliokua Na wao watatu Na marubani wawili. Ila bahati mbaya parachute zilikua mbili tuu... Ikabdibwapige kura maraisi gani wawili wapone.
Matokeo yakawa ivi...
Marekani kura 3
Russia kura 2
Bongo kura 16
 
Marais watatu na marubani wawili jumla yao ni wapiga kura watano. Sasa huyo aliyepata kura 16 zote hizo zilitoka wapi? Yaani wizi wa kura hadi angani!

Mkuu, inawezekana wajumbe walizuiliwa kujumulisha matokeo na mashine zao ziakuliwa ili wasijulikane waliokuwemo kwenye ndege na kura zilipigwa namna gani!.

Kwa bongo hili wala halina ubishi!
 
Back
Top Bottom