Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Deo alipimwa Malaria ikawa kidole damu haitoki vizuri.....lkabidi nesi amminye kidole taratibu ili damu itoke.....Katika kuminywaminywa Deo si akaona raha!! Akamwambia nesi "MKOJO PIA HAUTOKI" Nesi akamjibu... "nyoooooo"!!!